Wednesday, September 5, 2012

Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika (SADC TROIKA)

Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika (SADC TROIKA)

Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiongea na wanbahabri mara baada ya kumalizika kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe na kulia ni Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt Tomaz A. Salomao.
(PICHA NA IKULU)
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa SADC Rais Armando Emílio Guebuza wa Msumbiji na kati ni  Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt Tomaz A. Salomao.
Maofisa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam
Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt Tomaz A. Salomao akitoa maelezo kabla ya kuanza kikaoRais Joseph Kabila akipeana mikono na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Bw. Suleiman Kova wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete. Rais Kabila alihudhuria mkutano huo kama mgeni mwalikwa.Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiwa na wageni wake wakielekea kwenye  kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Rais Hifikepunye Pohamba  wa Namibia, Rais Kikwete, Rais Armando Emílio Guebuza wa Msumbiji na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)Rais Jakaya Kikwete akimpokea  Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya KikweteRais Jakaya Kikwete akimpokea  Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya KikweteWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akimlaki Waziri wa Ulinzi na Veterani wa Jeshi wa  Afrika Kusini Bi. Nosiviwe Mapisa-Nqakula.Rais Joseph Kabila akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete

No comments:

Post a Comment