Thursday, November 1, 2012

wanafunzi kimnyaki waandamana kutoka shuleni kwa madai ya kumkataa mwalimu mkuu

wanafunzi wa kimnyaki wiki hii wameandamana hadi ofisi ya mkuu wa mkoa wa arusha wakidai kuwa wakimkataa mwalimu mkuu wa shule,pichani ni walimu wakiwa  na bango ambalo linamktaa mkuu wa shule

No comments:

Post a Comment