Wednesday, September 5, 2012

DAUDI MWANGOSI UMEKWENDA SISI TUPO NYUMA YAKO



DAUDI MWANGOSI UMEKWENDA SISI TUPO NYUMA YAKO

pich namba 1.Daudi Mwangosi akichuku matukio kwa kumhoji kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuandaa eneo la tukio huku wote wakionekana kucheka kwa furaha

Picha namb 2.Polisi wakimgeuzi kibao Daudi Mwangosi kwa kumchapa kabla ya kumpiga bomu

Picha namba 3. Askari mkuu wa kituo cha polisi Mafinga akiwa chini baada ya kujeruhiwa pamoja kwa bomu lililomuua Mwangosi

Picha namba 4 na 5 Mwili wa Mwangosi ukichukuliwa eneo la tukio

Picha namba 6 Mwili wa Mwangosi baada ya kulipuliwa bomu

No comments:

Post a Comment