Thursday, September 6, 2012

MERU YAFUNIKA YAPATA MAPATO KWA KIWANGO CHA JUU WENGINE WAPEWA FEDHA NA BAISKELI

huyu anaitwa Ndetaiwa Alphayo amekabidhiwa baskeli na halmashauri ya  meru na hiyo itachangia ka kiwango kikubwa sana kuimarisha kilimo kwanza ndani ya wilaya hiyo

hawa ni waaandishi wa habari ambao walikuwa kazini ambapo walikuwa wanafuatilia kwa ukaribu sana zoezi la kumalizia mwaka wa fedha kwa halmashauri ya Meru na kuanza mwaka mpya mapema jana

Mbunge wa jimbo hilo Nassari Joshua hakuwa mbali na yeye hapa alikuwa anaongea na vyombo vya habari juu ya mwaka mpya ambao umeanza rasmi leo na  malengo yake

madiwani nao hawakuwa nyuma kila mara walikuwa wanachangia mada ambazo kwa kweli zikuwa nzuri na kama zitatumiwa vema basi zitaweza kuleta mafanikio sana kwa jimbo hilo la Meru,picha na qQueen Lema wa Upako wa habari, ARUSHA

No comments:

Post a Comment