Sehemu
ya ujenzi wa barabara za jiji la Arusha zikiwekwa lami na kampuni ya
ujenzi ya Synohidro kutoka nchini China kama ilivyokutwa na kamera yetu
kwenye mtaa wa Pangani kata ya kati PEMBENI NI MAFUNDI WA KAMPUNI HIYO
YA UJENZI WAKIENDELEA KUWEKA MITAMBO SAWA
Wakazi wa jiji la Arusha wakiwemo wapita njia wakiangalia uwekaji wa lami kwenye Barabara za mtaa wa Pangani
Ujenzi
huo wa miundombinu ya barabara kwenye jiji la Arusha ukiendelea kama
inavyoonekana mashine maalum ya kuweka lami ikiendelea na kazi(picha
zote na Mahmoud Ahmad Arusha)
No comments:
Post a Comment