Saturday, September 8, 2012

MAMBOOOOOOOZZZZZZZZ,KWANINI MWIZI WA KUKU ANAHUKUMIWA LAKINI ANAYEIIBIA SERIKALI HAONEKANI KAMA NI JAMBAZI SUGU

wapendwa wangu mambooooooooooooz je ninyi wazima

nawasalimu matumaini yangu kuwa wote ninyi ni wazima lakini tujuulize kuwa kwanini mwizi wa nyanya na vitunguu sokoni huwa anahukumiwa sana kuliko yule ambaye amepora Serikalini mamia ya Shilingi huwa anakwepesha hata kuongelea hilo je Nchi yetu inakwenda wapi

Sasa kwa hali hii tujiulize hizi ndizo nyakati za mwisho au ndio ule usemi unaosema kuwa mtu anao Boriti katika jicho la mwenzake kuliko ndani ya jicho lake  na je hata haki kwa wanyonge iko wapi

Inasikitisha sana kuona kuwa mwizi wa kuku anahukumiwa wakati aliyekula fedha za Rada na zile za Epa anatesa na Mashangingi na Magari mengine ya kifahari sana je Tufanyaje ili tuweze kuokoa hili

Mimi naona kuwa ni vema kama hata vyombo vya Sheria vikachukua sheria yake kwani nimeumia sana kuona mwizi wa Kuku anakwenda Jela wakati mtaani  tunatesa na Mafisadi wa aina mbalimbali

WATANZANIA TULIANGALIE JAMBO HILO KWA UNDANI SANA


USIKU MWEMA WATU WANGU MSISITE KUTEMBELEA

'TANZANI BILA DHULUMA YA KIFEDHA NA SURA NZURI INAWEZEKANA AMKASASA"

No comments:

Post a Comment