Queen Lema Blog

Malkia wa Matukio Jijini Arusha

Thursday, November 1, 2012

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MRINGA WAANDAMANA KWA MABANGO ILI KUMPA RAISI KIKWETE UJUMBE WAO


katika hali isiyokuwa ya kawaida leo tena wanafunzi wa shule ya msingi mringa wamesimama katika barabara ya ngaramtoni wakiwa na mabango ili kumuonesha Raisi Jakaya Kikwete kuwa wanateseka mara baada ya kunyanganywa shamba la hekari nne na watu wanaozaniwa kuwa ni wawekezaji,Pichani ni wanafunzi wakiwa na mabango yenye ujumbe

hapa ni wanafunzi wa shule ya msingi Mringa wakiwa wanaimba ili ujumbe uweze kumfikia Raisi Kikwete ambaye yupo mkoani Arusha kwa shuguli za kikazi zaidi
Hii picha nayo ikiwa inaonesha watoto wakiwa na mabango yanayoonesha kuwa wanazulumiwa haki zao za msingi,picha na Upako wa habari
Posted by Queen Lema at 12:50 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Translate

Blogu Marafiki

  • LIBENEKE LA KASKAZINI
    RC MAKALLA AAGIZA MPANGO MKAKATI WA UTALII KWA MAANDALIZI YA AFCON 2027 - Na Mwandishi Wetu, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, ameagiza kuandaliwa kwa mpango mkakati wa miaka mitano wa kukuza utalii un...
    1 hour ago
  • Wazalendo 25 Blog
    Riadha : Simbu Ateka Mitaa ya Jiji la Dar es Salaam - *Na Tullo Chambo, Riadha Tanzania.* MWANARIADHA wa Kimataifa wa Tanzania, Bingwa wa Dunia Marathon, Sajenti Alphonce Simbu, amekuwa kivutio ki...
    1 day ago
  • ASILI YETU TANZANIA
    -
    7 years ago
  • Queen Lema Blog
    - kushoto ni diwani wa kata ya olorien Bw Zakaria wakati katikati ni mgombea wa udiwani kata ya Murieth Moses mollel akifatiwa na Mbunge wa Arusha Mjini ...
    7 years ago
  • ARUSHA PUBLICITY
    LAFARGE TANZANIA YAZINDUA SARUJI MPYA “TEMBO SUPASET 42.5” - Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Lafarge Tanzania, Allan Chonjo (wa kwanza kulia) akizungumza machache mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani...
    9 years ago
  • Northern Shots
    Kamera ya Northern Shots katika Ubora Wake Jijini Arusha - Contact Us : 0718 036 654 or 0755 643 633
    10 years ago

Sikiliza Nyimbo Hapa

Zilizo Somwa Zaidi

  • (no title)
    kushoto ni diwani wa kata ya olorien Bw Zakaria wakati  katikati ni mgombea wa udiwani kata ya Murieth Moses mollel akifatiwa na Mb...
  • MBOWE -ACHENI PROPAGANDA FEKI
    MBOWE -ACHENI PROPAGANDA FEKI   MWENYEKITI wa Chadema,Freeman Mbowe amesema watu wanaoeneza propaganda na kupanda mbegu chafu kwa ku...

Labels

  • Afya
  • Habari
  • Jamii
  • Matukio
  • Michezo
  • Teknolojia

Blog Archive

  • ►  2017 (6)
    • ►  November (6)
  • ►  2014 (35)
    • ►  November (1)
    • ►  July (1)
    • ►  May (6)
    • ►  April (10)
    • ►  March (7)
    • ►  February (1)
    • ►  January (9)
  • ►  2013 (107)
    • ►  December (16)
    • ►  October (7)
    • ►  September (11)
    • ►  August (3)
    • ►  July (10)
    • ►  May (10)
    • ►  April (8)
    • ►  March (11)
    • ►  February (7)
    • ►  January (24)
  • ▼  2012 (257)
    • ►  December (27)
    • ▼  November (44)
      • KAMPUNI YA CHINA YA CHICO IMEJITOLEA KUTUMIA MILIO...
      • Diwani wa Chadema atimkia CCM
      • VIJANA 200 WA VYUO VIKUU ARUSHA WAPEWA MBINU ZA KU...
      • WANAOANGUKA NYAKATI ZA MITHIANI WANAKABILIWA NA H...
      • SIDO ARUSHA YAFANIKIWA KUTOA MKOPO WA ZAIDI YA MIL...
      • WALIOKUWA MADIWANI WA CHADEMA WALIPISHWA FAINI YA ...
      • CHADEMA YATETA JUU YA MADIWANI WALIOSHIRKI UZINDUZ...
      • UTPC YATOA MSAADA APC
      • MAJESHI YA SADC KUENDELEA KUTOA MSAADA KWA NCHI ZE...
      • TUNATAMBUA MCHANGO WA SEKTA BINAFSI-SERIKALI
      • RAISI KIKWETE AZINDUA MKAKATI WA PILI WA NCHI WANA...
      • MUUMINI WA KWA GEOR DAVIE AKAMATWA AKIWA ANAREKODI...
      • PUNGUZENI IDADI YA MBWA MITAANI KWA KUWAFUNGA VIZAZI
      • TAASISI ZA FEDHA ZASHAURIWA KUPELEKA HUDUMA VIJIJINI
      • CHUO CHA UASIBU ARUSHA CHAFANIKISHA MALENGO KWA KU...
      • MADEREVA TOYO SEKEI WAPEWA MBINU ZA KUKABILIANA NA...
      • JICHO LA LEO- KWELI MIAKA MINNE TEKNOLOJIA ZAZALIS...
      • MULTICHOICE YAPUNGUZA MALIPO YA MWEZI KWA 10%
      • KAMWE SITALIPIZA VISASI-Dkt Kikwete
      • UGONJWA WA KISUKARI NI TISHIO
      • WATAKIWA KUFAHAMIANA ILI WAWEZE KUSAIDIANA KATIKA ...
      • MAKAMU WA KWANZA WA RAISI ZANZIBAR AZINDUA RIPOTI...
      • SHIRIKA LA POLISI LA KIMATAIFA KUSAIDIA EAC KUPAMB...
      • WAANDISHI WASIANDIKE MAPUNGUFU TU BALI HATA MAZURI...
      • Tume ya Mabadiliko ya Katiba yaendelea na Awamu ya...
      • DIWANI WA KATA YA BASHNET AKANUSHA UVUMI
      • MBOWE -ACHENI PROPAGANDA FEKI
      • WANANCHI WALALAMIKIA MATIBABU YA KITUO CHA AFYA
      • WANANCHI TOENI MAONI YENU KWENYE MCHAKATO WA KATIB...
      • MBOWE ACHANGISHA MILIONI KUMI KWA AJILI YA UJENZI ...
      • Kesi ya madai dhidi ya ACU na raia wa ugiriki kusi...
      • SHIRIKA LA KISABATO LAFANIKIWA KUWASAIDIA MAALBINO...
      • WALTER AIBUKA NA MILIONI 50 KATIKA SHINDANO LA EBSS
      • MKUU WA WILAYA AAGIZA VIONGOZI KUPANDA MITI
      • MWENYEKITI WA KIJIJI MONDULI,JIMBONI KWA LOWASA A...
      • Watanzania watakiwa kujenga tabia ya kucheki afya ...
      • CHAMA CHA KIJAMII CHATOA TAMKO DHIDI YA VIONGOZI W...
      • ELIMU YA MAZINGIRA IANZIE KUANZIA NGAZI YA CHEKECH...
      • HALMASHAURI YA ARUSHA VIJIJINI INAKABILIWA NA UHAB...
      • CHADEMA YADAKA VITONGOJI SITA KATI YA TISA NDANI Y...
      • SERIKALI YA TANZANIA YAHIDI KUBORESHA SEKTA YA AFYA
      • MBOWE ASEMA KUWA YUPO TAYARI KUACHA CHADEMA KAMA H...
      • WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MRINGA WAANDAMANA KWA...
      • wanafunzi kimnyaki waandamana kutoka shuleni kwa m...
    • ►  October (35)
    • ►  September (48)
    • ►  August (2)
    • ►  July (21)
    • ►  June (51)
    • ►  May (14)
    • ►  April (5)
    • ►  February (6)
    • ►  January (4)
  • ►  2011 (4)
    • ►  December (4)

About Me

My photo
Queen Lema
View my complete profile

Total Pageviews

Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.