Friday, June 8, 2012

WANAHABARI WAHITIMISHA MAFUNZO YA TGNP MKOANI MBEYA LEO



Wanahabari wa vyombo mbali mbali waliokuwepo katika mafunzo ya siku mbili ya kukuza mahusiano kati ya mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP) na vyombo vya habari wakiwa katika picha ya pamoja leo baada ya kumaliza mafunzo hayo.
Katika picha juu mwandishi wa TBC taifa Hosea Cheyo(kushoto) akiwa na wanahabari wengine
Mzee wa matukio daima Bw Francis Godwin(wa tatu kulia) akiwa na wanahabari wengine walioshiriki mafunzo ya TGNP mkoani Morogoro
Mwanahabari Rashid Mkwinda akitoka darasani leo(picha na Francis GodwinBlog)

No comments:

Post a Comment