Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika (SADC TROIKA)
Mwenyekiti
wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya
Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiongea na
wanbahabri mara baada ya kumalizika kikao cha siku moja cha asasi hiyo
katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kushoto
ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard
Membe na kulia ni Katibu Mtendaji wa SADC Dkt Tomaz A. Salomao.
(PICHA NA IKULU)
Mwenyekiti
wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya
Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha
siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency
jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa SADC Rais Armando Emílio
Guebuza wa Msumbiji na kati ni Katibu Mtendaji wa SADC Dkt Tomaz A.
Salomao.
Maofisa
wakimsikiliza Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais
Jakaya Kikwete akifungua kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika
hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam
Katibu Mtendaji wa SADC Dkt Tomaz A. Salomao akitoa maelezo kabla ya kuanza kikaoRais
Joseph Kabila akipeana mikono na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar
es salaam Bw. Suleiman Kova wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya
Kikwete. Rais Kabila alihudhuria mkutano huo kama mgeni mwalikwa.Mwenyekiti
wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya
Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiwa na wageni wake
wakielekea kwenye kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya
Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Rais
Hifikepunye Pohamba wa Namibia, Rais Kikwete, Rais Armando Emílio
Guebuza wa Msumbiji na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo (DRC)Rais
Jakaya Kikwete akimpokea Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na mwenyeji wake Rais
Jakaya KikweteRais
Jakaya Kikwete akimpokea Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na mwenyeji wake Rais
Jakaya KikweteWaziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akimlaki
Waziri wa Ulinzi na Veterani wa Jeshi wa Afrika Kusini Bi. Nosiviwe
Mapisa-Nqakula.Rais Joseph Kabila akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete
No comments:
Post a Comment