Hayo
juzi lipokuwa akifanya ziara yake ya ukaguzi wa barabara
mbalimbali zinazojengwa katika kati ya jijini hapa ambapo barabara
nyingi zimeonekana kuchibwa na kuachwa na mashimo bila ya kufanyiwa
kazi hali inayosababishia
jiji la Arusha kuwa na msongamano mkubwa wa magari.
Alibainisha
wakandarasi ambao wamepewa kufanya kazi hiyo wamekuwa wanashindwa
kufanya kazi ya ujenzi wa barabara kwa wakati kwani tangu wamepewa kazi
hiyo wameshindwa kuonyesha kazi waliyofanya kwa kipindi kizima cha miezi
saba ambayo wameanza na ndo imemalizika katika kazi hiyo ,na hamna
kitu walichofanya wakati mradi huo unatakiwa ukabidhiwe Januari 31
mwakani 2013 kwani ni mradi wa miezi 15.
mulugo
alibainisha kuwa iwapo makandarasi huyo ataendelea kufanya vitu hivyo
basi wao kama mkoa watafanya apili wao kama serekali na watatuma
taarifa kwa benki ya dunia ambayo ndio imetoa fedha hizo za ujenzi
wabarabara za jijini hapa kuwa mkandarasi huyo awafai katika kazi kwani
anafanya kazi pasipo mipangilio nakujali muda.
"sasa leo tunakuja site na hawa wakandarasi wanajua kabisa twaja miezi
saba imeisha hatujaona kitu kinachotengenezwa zaidi ya haya mashimo
waliyoyachimba ambayo yanaababishia wananchi wetu kero kubwa kwani
hawaoni sehemu za kupita kwa ajili ya mashimo wanasabishia mji wetu kuwa
na msongamano wa magari kwa ajili ya wao wanafanya vitu kama hawataki
vile sasa nasema sisi tutaapili kama
hawatajirekebisha"alisema mulugo.
Aidha mulugo
alimtaka mshauri wa mkandarasi huyo ambaye anatoka katika kampuni ya
MEERO CO.LTD Eng, Johakimu Bwale asimamie kazi hiyo kwa makini na sio
kuifanya kazi hiyo kama mradi wake wa nyumbani kwake na kama ameshindwa
aachingazi ili waajiriwe wasimamizi wengine wenye uwezo huku akimtaka
apeleke malengo ya kila mradi wa barabara apelekewe matokeo ya mradi
huo ,wanaitaji kujua mradi wa mradi na kila mradi unagarimu kiasi gani
cha fedha ,barabara imechibwa lini na inatarajiwa kuwekwa lami lini
huku akisisitiza wanaitaji mradi huo uishi kwa wakati uliopagwa ili
benki hii ya dunia iweze kuwapa fedha za miradi mingine kwa ajili ya
maendeleo ya wananchi.
Kwa upande wake mkuu wa
wilaya ya arusha John Mongela ambae aliambatana na mkuu wa mkoa katika
ziara hiyo ya ukaguzi wa barabara alimtaka mshari wa barabara kutambua
kuwa fedha hizo za ujenzi
wa barabara ni za serekali na benki ya dunia na sio za kwake za mfukoni
huku akimpa ovyo kuwa iwapo ataendelea hivi basi ivi basi atamchukulia
hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kumueka ndani .
Alisema
kuwa hatakuwa tayari kufanya kazi na watu ambao wanachezea fedha za uma
,akisisitizia kuwa mtu huyo anayefanya hivyo atakuwa salama kata kidogo
kwani mtu huyo atakuwa tu anaiba fedha za serekali bali atakuwa
anawatesa wananchi ambao wametoa kodi zao .
"unajua
sitakuwa tayari kufanya kazi na watu ambao mtaendelea kucheza na fedha
za serekali ,kwakeli nasema kuwa hatabaki salama kwani anayefanya hivyo
anawaumiza wananchi wetu wewe angalia barabara zimechimbwa mashimo
matokeo yake wananchi wanakosa pa kupita msangamano wa magari unakuwepo
sitafumbia macho hilo,napia nawaomba meya na madiwani wote wafatilie
mradi huu kwa makini kwani ni wawananchi wao wanaumia ni wananchi wao na
watakao pata faida ni
wananchi wetu ivyo tushirikiane kufatilia"alisema Mongela
Naye
mshauri wa wakandarasi hao Johakimu Bwale akiojiwa na mkuu wa mkoa
alisema kuwa kazi yao inaenda vyema na wanauhakika kila kitu
kitakamilika katika kipindi kilichopagwa japo kuwa muda umeyoyoma ,huku
akisema kujwa tatizo lingine lilowafanya kutoweza kujenga barbara kwa
haraka ni pamoja na miundo mbimu ya maji machafu ,kwani wanaofia
wakijenga mwisho wasiku watakuja kubomoa kwani chema nyingi
zimeunganishwa katika barabara hizo huku akiwaondoa viongozi hawa shaka
kwa kusema kuwa watahakikisha wanakabidhi bara hiyo
Mwisho
No comments:
Post a Comment