Arusha.
BUNGE la nchi za Jumuia ya
Afrika mashariki .limemchagua ,Margret ZZiwa Nantongo, kutoka Uganda kuwa Spika
wa bunge hilo baaada ya kupata kura 33 na kumshinda, mgombea
mwenza, Dolla Byamkama nae kutoka nchini Uganda, aliyepata kura
12.
Uchaguzi huo ilibidi uingie awamu ya pili baada ya
awamu ya kwanza kushindwa kumpata mshind ambapo katika a awamu hiyo ZZiwa
alipata kura 27 na Dola Byamkama kura 18 hivyo hakufikia nusu ya
kura.
Margeret Nantongo, na Dolla Byamkama, wote wanatoka nchini Uganda,
hivyo anakuwa ni mbunge wa kwanza mwanamke kuwa Spika wa jumuia hiyo ya Afrika
mashariki.
Mara baada ya uchaguzi huo Namtongo, amewashukuru wabunge wote kwa
Imani kubwa waliyoionyesha kwa kumchagua na akaahidi kutoa
ushirikiano kwa ajili ya shughuli za maendeleo ya jumuia hiyo.
Mwisho
chanzo cha habari na Queen Lema
|
Tuesday, June 5, 2012
BREAK NEWSSSSSSSSSSSSS EAC YAPATA SPIKA MPYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment