Mwanataalum mkonge Profesa Goran Hyden akijibu hoja
na maswali mbalimbali yalitolewa na wahadhiri na wanataalum mbalimbali kutoka
ndani na nje ya Tanzania leo mjini Dar es salaam wakati wa kongamano la siku
moja la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la
kutambua mchango wake kitaalum.
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar e salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Uganda Profesa Apolo Nsibambi(kulia)
akichangia mada jana mjini Dar es saam wakati wa kongamano la siku moja la
wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la kutambua
mchango wa Profesa Goran Hyden alioutoa
ndani na nje Tanzania. Wengine ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma George Yambesi(katikati) na Profesa Goran Hyden(kushoto)
Katibu Mkuu zamani wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Balozi Juma Mwapachu akichangia mada jana mjini Dar es saam wakati wa
kongamano la siku moja la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar
es salaam la kutambua mchango wa Profesa Goran Hyden alioutoa ndani na nje Tanzania.Kulia
ni Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukanda.
Profesa Bernadeta Killian wa Chuo Kikuu cha Dar
es salaam akitoa mada jana mjini Dar es salaam kuhusu kitabu cha Profesa Goran
Hyden cha Beyond Ujamaa in Tanzania wakati wa kongamano la siku moja la
wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la kutambua
mchango wake kitaalum.
Makamu wa Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukanda (kulia)
akibadilishana
mawazo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uganda Profesa Apolo Nsibambi
(katikati) na
Balozi wa Zambia nchini Judith Kangoma( kushoto) leo mjini Dar es salaam
wakati
wa kongamano la siku moja la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo
Kikuu cha Dar es salaam la kutambua mchango wa Profesa Goran Hyden
alioutoa ndani na nje Tanzania
No comments:
Post a Comment