Queen Lema Blog

Malkia wa Matukio Jijini Arusha

Friday, April 5, 2013

KAMPUNI YA CHICO YATOA RAMBIRAMBI


MH WAZIRI MKUU APOKEA SHILINGI MILIONI KUMI ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KAMPUNI YA CHICO KUTOKANA NA AJALI YA KUANGUKA KWA JENGO JIJINI DAR ES SALAAM


IMG_0832Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda leo amepokea shilingi milioni kumi kwa ajili ya rambirambi kutokana na ajali ya kuanguka kwa jengo la gorofa 16 jijini dar es salaam tarehe 29march 2013 na kusababisha maafa pichani ni Assistant President Chief Representative Tanzania kutoka kampuni ya China Henan International Cooperatin Group Co. Ltd Mr Guo Zhijian akimkabidhi waziri Mkuu hundi ya shilingi milioni kumi kama rambirambi ya kampuni hiyo makabidhiano hayo yamefanyika ofisni kwa waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam Picha na Chris Mfinanga IMG_0836Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na kiongozi wa kampuni hiyo pamoja na maafisa wengine mara baada ya kupoke msaada wa fedha hizo
Posted by Queen Lema at 9:20 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Translate

Blogu Marafiki

  • LIBENEKE LA KASKAZINI
    NABII MKUU ATOA MCHANGO WA MILIONI 50 KWA MAPOKEZI YA RAIS SAMIA - Na Woinde Shizza, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, amemualika Nabii Mkuu, Mhe. Dkt. GeorDavie kushiriki katika mapokezi ya Mwenyekiti wa...
    30 minutes ago
  • Wazalendo 25 Blog
    Riadha : Simbu Ateka Mitaa ya Jiji la Dar es Salaam - *Na Tullo Chambo, Riadha Tanzania.* MWANARIADHA wa Kimataifa wa Tanzania, Bingwa wa Dunia Marathon, Sajenti Alphonce Simbu, amekuwa kivutio ki...
    1 day ago
  • ASILI YETU TANZANIA
    -
    7 years ago
  • Queen Lema Blog
    - kushoto ni diwani wa kata ya olorien Bw Zakaria wakati katikati ni mgombea wa udiwani kata ya Murieth Moses mollel akifatiwa na Mbunge wa Arusha Mjini ...
    7 years ago
  • ARUSHA PUBLICITY
    LAFARGE TANZANIA YAZINDUA SARUJI MPYA “TEMBO SUPASET 42.5” - Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Lafarge Tanzania, Allan Chonjo (wa kwanza kulia) akizungumza machache mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani...
    9 years ago
  • Northern Shots
    Kamera ya Northern Shots katika Ubora Wake Jijini Arusha - Contact Us : 0718 036 654 or 0755 643 633
    10 years ago

Sikiliza Nyimbo Hapa

Zilizo Somwa Zaidi

  • (no title)
    kushoto ni diwani wa kata ya olorien Bw Zakaria wakati  katikati ni mgombea wa udiwani kata ya Murieth Moses mollel akifatiwa na Mb...
  • MBOWE -ACHENI PROPAGANDA FEKI
    MBOWE -ACHENI PROPAGANDA FEKI   MWENYEKITI wa Chadema,Freeman Mbowe amesema watu wanaoeneza propaganda na kupanda mbegu chafu kwa ku...

Labels

  • Afya
  • Habari
  • Jamii
  • Matukio
  • Michezo
  • Teknolojia

Blog Archive

  • ►  2017 (6)
    • ►  November (6)
  • ►  2014 (35)
    • ►  November (1)
    • ►  July (1)
    • ►  May (6)
    • ►  April (10)
    • ►  March (7)
    • ►  February (1)
    • ►  January (9)
  • ▼  2013 (107)
    • ►  December (16)
    • ►  October (7)
    • ►  September (11)
    • ►  August (3)
    • ►  July (10)
    • ►  May (10)
    • ▼  April (8)
      • TUMIENI KAMUSI HATA MNAPOKUWA MADHABAHUNI-JOKA KUU
      • ASKOFU SIXBERT ATANGAZA KURUDISHA AMANI YA ARUSHA
      • INSERT KWA KUSHIRIKIANA NA JUKWAA LA WAZEE LATARAJ...
      • ASKOFU ALITAKA TAIFA LA TANZANIA KUTOJIBU VITA YA ...
      • KAMPUNI YA CHICO YATOA RAMBIRAMBI
      • ARUSHA INAKABILIWA NA ONGEZEKO KUBWA LA UHITAJI WA...
      • CHUO CHA UFUNDI ARUSHA CHAANZA MKAKATI WA KUFUA MI...
      • ANDIKENI HABARI ZA UCHUNGUZI ZAIDI ACHANENI NA HAB...
    • ►  March (11)
    • ►  February (7)
    • ►  January (24)
  • ►  2012 (257)
    • ►  December (27)
    • ►  November (44)
    • ►  October (35)
    • ►  September (48)
    • ►  August (2)
    • ►  July (21)
    • ►  June (51)
    • ►  May (14)
    • ►  April (5)
    • ►  February (6)
    • ►  January (4)
  • ►  2011 (4)
    • ►  December (4)

About Me

My photo
Queen Lema
View my complete profile

Total Pageviews

Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.