Habari za kijamii/michezo na burudani

1 comment:

  1. SAFU HII INAPENDA SANA KUMPONGEZA WATER MSHINDI WA EBSS NA HIYO NI CHANGAMOTO KUBWA SANA KWA WASANII WETU WA HAPA NYUMBANI PAMOJA NA VIJANA

    KATIKA SAKATA HILO AMBALO LILISHIURIKIKISHA KUNDI KUBWA SANA LA VIJANA WALTER ALIONEKANA KAMA MSHAMBA FULANI HIVI LAKINI APEWE SIFA MUNGU KWA KUWEZA KUMSAIDIA

    HII NI CHANGAMOTO KWA VIJANA HASA WALE WAOWANIA NAFASI MBALIMBALI KUHAKIKISHA KUWA WANAJIPANGA NA PILIKAPILIKA ZA OVYO WAACHE NA PIA WAJIWEKEE MSIMAMO WA USHINDI

    ReplyDelete