NA JAMES STANLEY ARUSHA
SERIKALI imeombwa kuwapatia Bima ya Afya watoto
wanolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima
cha Samartan Villege,kilichoko Moshono,Mkoa ni
Aru
sha.
Mratibu wa kituo hicho, Father Josephat Mumany,
akizungumza hivi karibuni wakati wakutoa taarifa fupi
yakituo hicho bkwa viongozi na wanachama wa kiku
ndu cha uamsho cha Oldadai,waliotembelea kituo hich
o kwa ajili ya kutoa misaada mbalimbali,Alisema bima
hizo zitwapunguzia adha watoto hao wanapougua.
Alisema kutokana na watoto hao kutokuwa na Bima
ya Afya,hali hiyo imekuwa ikiupa shida kubwa viongozi
wa kituo
hicho,pale unapopataka kuwapeleka watoto
hao hospitalini.
Father Mmanyi,alisema hiyo ni changamoto kubwa
kwao,kutokana na kituo kukabiliwa na
uhabawafedha,
hali amabayo pia huwafanya watotowanaougua kukaa
na maradhi yao kwa muda mrefu pasipo kupata matib
abu.
Katika hatua nyingine Mmanyi alisema watoto wanao
lelewa katika kituo hicho wanapelekwa na serikali baada
ya kuokotwa mitaani,kutokana na kutupwa na wazazi
wao baada ya kujifungua.
''Watoto hawa wanaokotwa katika mazingira magumu
wengine wanavunjwa miguu na wazazi wao, wengine
wanakutwa wametoboleatobolewa na wazazi wao kabla
ya kuwatupa,Inasikitisha sana unapoona mazingira amba
yo watoto hawa walikotoka.''Alisema
Pamoja na serikali,aliitaka jamii na mashitika mbalimbali
ya kitaifa na kimataifa,kukisaidia kituo hicho kwa hali na
mali,ili kiweze kumudu malezi ya watoto hao.Hivi sasa.ali
sema wana miradi waliyopewa na wahisani inayowasaidia
katika mambo madogomadogo.Nayo ni pamoja na bwawa
la samaki,shamba la mahindi,pamoja na migomba.
Mweka Hazina wa kikundi cha
Uamsho,kilichowatembele
a watoto hao,Be Marry Mayagila,Alisema wanaguswa na
amahitaji ya watoto hao na kwamba kwa kuwa wao ni w
anawake wenye moyo wa huruma,ndiyo maana
wameme
amua kuwatembea na kuwapatia misaada ya vyakula.
Alitoa wito kwa wanawake,na vikundi mbalimbali kuwa
hurumia watoto hao kwa kuwapa misaada
mbalimbali
kwani hawawajui wazzi wao,ili nao wajione swa na wato
to wengine
No comments:
Post a Comment